Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondali jangwani na NEMAN KARAN (katikati) baada ya darasha fupi la ndoto na malengo. darasa hili lililenga katika kuwaelimisha wanafunzi walio mashuleni kwamba kuna maisha baada ya shule wanajiandaa vipi #LIFE AFTER SCHOOL
vijana kutoka katika jogging tofauti za Tandale baada ya jukwaa liliolenga dhumuni na malengo ya kuanzishwa jogging na kingine ni nafasi yao katika jamii wanazotokea wakiwa kama wana jogging #OKOA KITAA
Mwezeshaji Neman Karan akiongoza jukwaa la vijana linalofanyika kila mwisho wa mwezi katika kituo cha huduma rafiki kwa vijaa (TANDALE YFS)
Wasichana kutoka katika maeneo tofauti ya Dar es salaam katika picha ya pamoja baada ya mafunzo ya STADI ZA MAISHA na AFYA YA UZAZI .lengo la mafunzo haya ni kuwafanya vijana kujitambua na kupunguza mimba zisizotarajiwa kwa wasichana.




No comments:
Post a Comment