OKOA KITAA ni programu inayofanaya kazi na kuendeshwa chini ya taasisi ya maenedeleo ya vijana Tandale, inayolenga kusaidia vijana waishio maeneo duni kwa kutoa elimu ya kujitambua,ujasiliamali na uraia ili kufanya vijana kuwa sehemu ya maendeleo katika jamii na kutimiza ndoto zao.
Wadau mnaweza kutembea tanzania nzima,na hususani vijana wa vijijini kwani wao hawna elimu yoyote kuhusu maswala ya elimu ya kujitambua,ujasiliamali na uraia ili kufanya vijana hao kuwa ni sehemu ya maendeleo katika jamii na kutimiza ndoto zao na kusaidia jamii zao kwa ujumla.

ReplyDelete