Mamia
ya vijana waunga kuazimisha siku ya kijana dunia kwenye kiwanja cha zakhem Mbagala yaliandaliwa na UNFPA TANZANIA kwa kushrikiana na Taasisi mbalimbali za vijana siku ya tarehe 12,julai. kauli
mbiu ya mwaka huu inasema TOKOMEZA UMASKINI KWA UZALISHAJI ENDELEVU NA
MATUMIZI YENYE TIJA.Maazimisho haya yaudhuriwa na muwakilishi wa nchi kutoka UNFPA TANZANIA Dr Natalia Kanem akiwa mgeni rasmi wa maazimisho haya, pia yaliambatana na burudani kutoka kwa msanii wa bongo fleva Barnaba na mwanamuziki wa singeli Sholo Mwamba.

msanii wa bongo fleva Barnaba akitumbuiza wakati wa tamasha
Mamia ya vijana waliojitokeza jana kwenye viwanja vya Mbagala Zakhem kuazimisha siku ya kijana dunian.
Mabanda ya taasisi na mashirika mbalimbali waliojitokeza kwenye maazimisho haya
Mgeni rasmi na muakilishi wa nchi kutoka UNFPA Tanzania Dr Natalia Kanem alipokuwa anatembelea mabanda katika viwanja vya zakhem
waakilishi kutoka taasisi za vijana walioshiriki kuandaa maazimisho haya









No comments:
Post a Comment