OKOA KITAA ni programu inayofanaya kazi na kuendeshwa chini ya taasisi ya maenedeleo ya vijana Tandale, inayolenga kusaidia vijana waishio maeneo duni kwa kutoa elimu ya kujitambua,ujasiliamali na uraia ili kufanya vijana kuwa sehemu ya maendeleo katika jamii na kutimiza ndoto zao.
GLOBAL PEACE FOUNDATION KWA KUSHIRIKIANA NA TYDC WAFANYA JUKWAA LA VIJANA
GLOBAL PEACE FOUNDATION TANZANIA WATOA ELIMU JUU Y...: Kila Baada ya Mwezi kikundi cha Tandale Youth Development Centre hufanya Jukwaa la Vijana ambapo vijana hukutana na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu vijana hususani changamoto zinazowazunguka.
washriki katika picha ya pamoja.
country director wa Global Peace Foundation Tanzania Miss Martha Nghambi akifutilizia jukwaa.
davie george (muogoza mjadala) akiongea jambo
Steve zero kutoka UNA Tanzania akichangia jambo wakati wa jukwaa
No comments:
Post a Comment